Afueni kwa Maribe, korti ikiamuru aruhusiwe kuingia nyumbani kwake

KTN News Nov 27,2018


View More on KTN Leo

 

Mwanahabari wa runinga ya citizen Jacque Maribe, anayekabiliwa na mashtaka ya mauaji ya Monicah Kimani, amepata afueni baada ya mahakama kuamuru kwamba akabidhiwe nyumba na taarifa za mashahidi kwenye kesi dhidi yake. Hata hivyo upande wa mashtaka umeshikilia kuwa kamwe Maribe hatarejeshewa gari na simu baada ya Kuorodheshwa kuwa vifaa vya ushahidi mahakamani.