×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtoto auawa kwa kupigwa rugu na makundi ya tohara

26th November, 2018

Familia moja kutoka eneo la Kapkuis eneo Bunge la Soy Kaunti ya Uasin Gishu inaomboleza kifo cha mtoto wao ambaye aliuawa baada ya makundi mawili ya vijana, moja linaloshikilia imani ya tohara ya kitamaduni na ile ya imani ya tohara ya kisasa kukosana. Marehemu Mathew Kipruto alipgwa rungu kichwani na kufariki kwenye zogo hilo. 

.
RELATED VIDEOS