.
25th November, 2018
Mojawapo ya kumbukumbu za ujio wa ukoloni Afrika ni elimu andishi na dini ya Kikristu. Na eneo la Taita Taveta pia kulikuwepo na gazeti la kwanza Afrika Mashariki ya kati yaani Taveta Chronicles mbali na maeneo ya vita vikuu vya kwanza ulimwenguni.