Atwoli: Wahusika wanaodaiwa kushiriki ufisadi katika sekta ya kilimo wakamatwe
24th November, 2018
Katibu wa chama cha kutetea maslahi ya wafanyakazi COTU Francis Atwoli ameitaka serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria wahusika wanaodaiwa kushiriki ufisadi katika sekta ya kilimo.