Ujenzi wa jumba la orofa sita Kayole wasitishwa kwa kukiuka kanuni za ujenzi ila mmiliki amepuuza

KTN News Nov 22,2018


View More on KTN Leo

Ujenzi wa jengo lenye ghorofa sita katika eneo la Umoja umesimamishwa mara moja kwa kukiuka kanuni za ujenzi na kwa kuwa hafifu. Ilani ya ubomozi ilikuwa imetolewa hapo awali lakini mmiliki wa jengo hilo akaitoa na kuendelea na ujenzi