Waliojeruhiwa na 'Al Shabaab' wako hali sawa, washukiwa 14 wakamatwa kusaidia uchunguzi

KTN News Nov 22,2018


View More on KTN Leo

Watu 5 waliopata majeraha ya risasi kwenye shambulizi la Jumanne usiku sehemu ya Chakama mjini malindi kaunti ya Kilifi, wapo katika hali nzuri isio ya hatari huku maafisa wa polisi wakiwazuia washukiwa 14 kutokana na tukio hilo katika makao ya watoto sehemu ya chakama. Oparesheni ya kumtafuta mfanyikazi mmoja wa kujitolea raia wa italia aliyetekwa nyara inaendelea