.
21st November, 2018
Wakazi wa ribe Kaunti ya Kilifi ni wenye wasiwasi na kujiuliza na maswali mengi baada ya makavazi ya wamishonari wa kwanza wakimethodisti kufukuliwa. Kulingana na wakazi jambo hilo linawapa kiwewe ya nia na sababu za waliotekeleza kitendo hicho