×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hatma ya gavana wa Wajir kusalia mamlakani mikononi mwa majaji sita, kesi ya vyeti 'ghushi' ikianza

21st November, 2018

Matumaini ya Gavana wa Wajir Mohammed Abdi Mohamud kuendelea kusalia mamlakani sasa yamo mikononi mwa jopo la majaji sita wa mahakama ya upeo ambao wamekuwa wakisikiza kesi inayoharamisha shahada yake. Gavana huyo aliamua kufika katika mahakama hiyo ya juu baada ya mahakama kuu na ile ya rufaa kufutilia mbali kuchaguliwa kwake kwa misingi kwamba hana vyeti halali. 

.
RELATED VIDEOS