×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watano wajeruhiwa, Muitaliano kutekwa nyara baada ya 'wanamgambo' kushambulia makao ya watoto Kilifi

21st November, 2018

Watu watano wamejeruhiwa na mwanamke mmoja mwenye asili ya kitaliano kutekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa wanamgambo wa Al?shabaab katika shambulio dhidi ya makao ya watoto yatima katika kijiji cha Chakama yapata kilomita 80 kutoka mji wa Malindi.

.
RELATED VIDEOS