×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shamrashamra za uchaguzi Umasaini Olgulului karibu na mbuga ya Amboseli

20th November, 2018

Jamii ya wamaasai wanaoishi katika eneo lililopo karibu na mbuga ya wanyama ya amboseli ilifanya uchaguzi wa viongozi wao. Uchaguzi huo ulifanywa ili kupata watakaosimamia shughuli  za shamba hilo pana. Shamba hilo ni asilimia tisini ya Mbuga ya Amboseli na hivyo jamii huona haja ya usimamizi thabiti wa rasilmali hiyo ambayo ni sehemu ya mapato ya nchi kupitia utalii. Kwenye uchaguzi huo hata watoto wachanga walihesabiwa  kama sehemu ya kura zilizopigwa na ilivyo kawaida kwenye uchaguzi wowote ule, wizi wa kura ni suala ambalo liliibuka. 

.
RELATED VIDEOS