×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Inspekta Jenerali Boinet awahakikishia uungwaji mkono wasimamizi wa msikiti mkongwe Lamu

20th November, 2018

Inspekta Generali wa polisi Joseph Boinnet amewaahidi, wasimamizi wa msikiti wa Riyadha ulioko Kaunti ya Lamu, kuwa idara ya polisi itawaunga mkono katika jitihada zao za kuhifadhi msikiti huo,uliotengenezwa mwaka wa elfu moja mia nane tisini na mbili na kuchapishwa rasmi kwenye gazeti la serikali kama turathi ya kitaifa mwezi Aprili mwaka huu. Shirika la UNESCO limeweza kuwapa ufadhili wa utunzaji wa mnara wa msikiti huo, huku viongozi waislamu wa msikiti huu wakitazamia serikali itaweza kuwasaidia katika utunzi wa raslimali hii ya kitaifa. Tarehe ishirini na mbili hadi ishirini na tano msikiti huu utakuwa mwenyeji wa tamaduni za lamu na zile za maulid ambazo hufanyika kila mwaka. 

.
RELATED VIDEOS