.
20th November, 2018
Hatma ya muungano wa NASA imeonekana kugongana mwamba baada ya kiongozi wa waliowachache bunge la taifa John Mbadi kumwandikia barua katibu bungeni Michael Sialai akimwelekeza kukomesha pesa ambazo wabunge walikuwa wakikatwa na kuelekezwa kwa akaunti ya benki ya NASA na badala yake pesa hizo zielekezwe kwa vyama husika vya wabunge