Mwanafunzi aliyetamba #KCPE2018 anaugua saratani, ahitaji Sh5M kupata matibabu

KTN News Nov 20,2018


View More on KTN Leo

Siku moja baada ya kushehereka matokeo mtoto Mary Mutua anapokea matibabu ya ugonjwa wa saratani katika hospitali ya Coast General Kaunti ya Mombasa. Mary ambaye alijizolea alama 415 ni miongoni mwa watahiniwa 12,273 waliofanya vyema zaidi katika mtihani wa KCPE