×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Siasa ya Mahindi: Mustakabali wa wakulima wa Mahindi

19th November, 2018

Hisia mseto zimeendelea kutolewa kuhusiana na mustakabali wa wakulima baada ya siku nyingi za mafadhaiko na malalamiko chungu nzima kuhusu pembejeo, mauzo ya nafaka na gharama ya ukulima kwa jumla. Baadhi ya viongozi kutoka eneo la North Rift sasa wamesema wataandaa mkutano wa pamoja kwenye mchakato wa kutafuta suluhu ya kudumu.

.
RELATED VIDEOS