×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa Magharibi watofautiana wazi wazi

17th November, 2018

Viongozi kutoka eneo la Magharibi leo wametofautiana wazi wazi kuhusu mustakabali wa jamii hiyo kisiasa kabla ya uchaguzi wa mwaka 2022. Baadhi wakitaka kuwepo kwa chama kimoja cha jamii ya waluhya nao wengine wakipinga. Mbunge maalum Godfrey Ososi alijipata matatani baada ya kumtetea kinara wa chama cha ODM Raila Odinga.

.
RELATED VIDEOS