.
17th November, 2018
Wenyeji wa mtaa wa Karagita mjini Naivasha wameamkia kisa
cha mauaji ambapo mtu mmoja amemgeukia mwanawe wa
kambo wa miaka mitano na kumdunga kisu mara nane na
kumwua. Umati uliojawa na ghadhabu ulimshambulia jamaa
hadi akafariki.