.
12th November, 2018
Katibu mkuu wa muungano wa wafanyakazi nchini COTU, Francis Atwoli amewasihi wafanyakazi kumuunga mkono waziri Matiang'i kwenyeoperesheni ambayo anasema inanuia kuleta uadilifu na utiifu wa sheria za barabara nchini kenya.