.
12th November, 2018
Muungano wa wahudumu wa matatu umeusitisha mgomo wa matatu jioni hii, na kuwaomba radhi wakenya waliotaabika kwa sababu ya mgomo huo. awali nyakati za asubuhi,wakenya walitaabika kutokana na mgomo huo huku wengine wakilipia mara dufu ada ya usafiri.