Muungaana wa wahudumu wa matatu waomba radhi wakenya waliotaabika

KTN News Nov 12,2018


View More on KTN Leo

Muungano wa wahudumu wa matatu umeusitisha mgomo wa matatu jioni hii, na kuwaomba radhi wakenya waliotaabika kwa sababu ya mgomo huo. awali nyakati za asubuhi,wakenya walitaabika kutokana na mgomo huo huku wengine wakilipia mara dufu ada ya usafiri. lofty matambo anaarifu