.
7th November, 2018
Mzozo umetokota katika tawi la KUPPET kaunti ya Uasin Gishu baada makundi mawili yanayohasimiana kuyaweka hadharani masaibu yanayolemaza jitihada za kuinua chama hicho cha walimu.wakizungumza mjini Eldoret, makundi hayo yamewataka wakuu wa kitaifa wa KUPPET kuingilai ati ili kuzinba nyufa inatoshia kuvurua umoja ndani ya kuppet, tawi la Uasin Gishu.