3rd November, 2018
Viongozi kutoka pwani chini ya mwavuli wa jumuiya ya kaunti za pwani walikutana na kutoa kauli yao kuhusu kura ya maamuzi.
Viongozi hao wamesema wataunga mkono kura ya maamuzi iwapo matakwa yao yatajumuishwa kwenye kapu hilo. Je ni nini wapwani watakuwa wakisaka francis mtalaki na maelezo kutoka Mombasa.