.
1st November, 2018
Viongozi tofauti humu Nchini wameendelea kumfariji kinara wa chama cha wiper, Kalonzo Musyoka, kutokana na kifo cha babake mzazi, Mzee Peter Musyoka. Aliyekuwa waziri mkuu, Raila Odinga na Seneta wa Baringo, Gideon Moi, waliwaongoza baadhi ya wabunge na maseneta kumtembelea kalonzo katika nyumbani kwake ,mtaani Karen ili kumfariji. |