×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Siasa za sensa: wanasiasa wa mlima Kenya wasema eneo la kati ni maarufu

1st November, 2018

Seneta wa Nyeri Ephraim Maina amesema atafufua kesi iliyotupiliwa mbali na mahakam kuu kwaka wa 2010, uliyokuwa ikipinga ugavi wa mipaka uliotoa maeneo bunge 290. Matamshi ya Maina yanajiri siku chache tu baada ya wanasiasa kutoka mkoa mwa kati kufanya kikao kilicho nuiwa kujadili maendeleo na siasa za Mlima Kenya. Lakini je, mbona hesabu ya watu inayofanyika mwaka ujao umezua siasa kali has miongoni mwa wanasiasa wa kati? 

 
.
RELATED VIDEOS