Mtihani wa KCPE umeanza rasmi kote nchini

KTN News Oct 30,2018


View More on KTN Leo

Watahiniwa wa mtihani wa darasa la nane KCPE wameanza rasmi mtihani huo kote nchini. Mmoja wa watahiniwa hao ni ajuza wa miaka 68 aliye na wajukuu kumi na wanne.