×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Chama cha wataalam wa dawa za tiba chaunga mkono mswada wa mageuzi katika sheria ya afya

28th October, 2018

Chama cha wataalam wa dawa za tiba kimejitokeza kuzungumzia mageuzi katika sheria ya afya mwaka 2018 iliyowasilishwa bungeni na kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale. 

Katika kikao na wanahabari chama hicho kimekumbatia mapendekezo hayo , hususan katika kipengee kinachotaja faini mpya ya shilingi milioni moja kwa wale watakaopatikana wakiuza dawa kwa umma kinyume na sharia katika mapendekezo zaidi, chama hicho sasa kitakuwa na wawakilishi watatu katika halmashauri ya kusimamia dawa za tiba na sumu nchini.

.
RELATED VIDEOS