×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta Gideon Moi azuru Kaunti ya Homa Bay

27th October, 2018

Seneta wa Baringo Gideon Moi yuko katika kaunti ya homa bay kwa siku mbili kusaidia kuchangisha fedha za miradi ya wanawake na kanisa la Adventist la Wikondiek. Moi amekaribishwa katika kaunti hiyo na viongozi wa eneo hilo, seneta moses kajwang'  mwakilishi wa kike gladys wanga, miongoni mwa viongozi wa serikali ya kaunti hiyo. Kwenye mkutano wa leo, siasa za ni nani rais Kenyatta anapaswa kumkabidhi madaraka zilizuka.

.
RELATED VIDEOS