.
27th October, 2018
Kiongozi wa chama cha wiper kalonzo musyoka amekuwa huko wundanyi kaunti ya taita taveta, kukinadi chama chake. Akizungumza kwenye hafla iliyoandaliwa na mbunge wa eneo la wundanyi danson mwashako, kalonzo amewakumbusha wakenya juu ya ushikamano wa raia wa Taifa hili.