William Ruto ameelezea kutoridhishwa kwake na baadhi ya masuala katika mfumo wa elimu

KTN News Oct 25,2018


View More on KTN Leo

Naibu wa rais William Ruto ameelezea kutoridhishwa kwake na baadhi ya masuala katika mfumo wa elimu nchini. Ruto amekosoa hatua ya vyuo vikuu ya kuharakisha kutoa masomo mbalimbali pasi na kuwa na rasilimali zifaazo kufanikisha masomo hayo. Ruto pia amewataka wazazi kupunguza msukumo wanaowatwalia watahiniwa katika mitihani ya kitaifa.