Mombasa mafuriko yalishuhudiwa katika mitaa ya Kisauni, Majengo na Likoni
25th October, 2018
Mvua ya vuli katika kaunti za Pwani ya Kenya. Huko Mombasa mafuriko yalishuhudiwa katika mitaa ya Kisauni, Majengo na Likoni.Wasafiri na watoto wa shule wakipata wakati mgumu kuingia mjini.