24th October, 2018
Mwanahabari wa Citizen Jacque Maribe ameregeshwa katika rumande ya gereza la Langa'ta huku mpenziwe Joseph Irungu Jowie akipelekwa katika gereza la maeneo ya viwanda kwa siku zingine saba hadi jumanne wiki ijayo ambapo ombi lao la dhamana litabsikisikilizwa. Jackie na Irungu wanakabiliwa na tuhuma za kumuua Monica Kimani Nyawira