×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kesi ya ufisadi katika KPL imesimamishwa kwa muda

22nd October, 2018

Kesi inayowakabili maafisa 14 wa  kampuni ya usambazaji umeme nchini katika sakata ya ununuzi wa mitambo duni ya transformer inaendelea. Maafisa waliofikishwa mahakamani ni pamoja aliyekuwa afisa mkuu mtendaji ben chumo.

Faili kuhusu kesi hiyo imeripotiwa kutoweka  na sasa kiongozi wa mashtaka ametaka kesi hiyo iahirishwe huku uchunguzi ukifanyika.

.
RELATED VIDEOS