×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwili wa mwanamme umepatikana katika barabara ya Meru-Isiolo

20th October, 2018

Mwili wa mwanamme mmoja mwenye umri wa makamu umepatikana ukiwa uchi kando mwa barabara ya Meru?Isiolo.kwa mujibu wa mashahidi haikuwa imedhibitika kiini cha maafa hayo manake mwili huo haukuonyesha dalili za majeraha yoyote. Hata hivyo baadaye ilifichuka kwamba marehemu ni mmoja wa wachuuzi wa vyuma vikuukuu mjini isiolo huku makundi ya wanaorandaranda mitaani wakimtambua kama rafiki yao.mwili huo ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya rufaa ya isiolo.

.
RELATED VIDEOS