.
20th October, 2018
Tangu enzi za jadi, msitu wa mau umekua na chemichemi zinazotoa maji yanayochangia uhai wa mito inayotumiwa kwa manufaa ya shughuli za binadamu na wanyama. Mojawapo wa mito hio ni mto Mara, ambao licha ya faida hizo, kuna uharibifu mkubwa wa maji safi yanayotoka kwenye chemichemi za msitu wa mau. Katika makala maalum ya chanzo cha mto mara ali manzu anatupa tathmini ya yanayozingira eneo hilo la mara.