Tabia za wanyama wanapokutana na binadamu, Waiguru akisakata ngoma | Mirindimo
19th October, 2018
Leo katika makala ya mirindimo tunaangazia wanaopenda vya bwerere baada ajali, tabia za wanyama wanapokutana na binadamu halikadhalika alivyo mahiri Bi. Anne Waiguru kusakata ngoma za kileo.