×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kamati ya bunge kuhusu mazingira leo hii imefanya ziara kwenye majumba ya Seefar apartments

18th October, 2018

Kamati ya bunge kuhusu mazingira leo hii imefanya ziara kwenye majumba ya Seefar apartments, katika mtaa wa Highrise, na kuelezea hofu yao kuhusu uslama wa mijengo hiyo. Ingawa walisisitiza haja ya haki za wawekezaji kuzingatiwa, walisema kwamba tathmini ya awali imebaini kwamba nyumba hizo zilijengwa katika ardhi ya bwawa la Nairobi.

.
RELATED VIDEOS