×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jaji James Wakiaga amechukua usukani kuendesha kesi ya mauaji inayomkabili mwanahabari Jacque Maribe

17th October, 2018

Ni rasmi sasa kuwa Jaji wa mahakama kuu James Wakiaga amechukua usukani kuendesha kesi ya mauaji inayomkabili mwanahabari Jacque Maribe.

Wiki iliyopita jaji Jessei Lessit alitangaza kuwa kesi hii itaendeshwa na jaji mwingine akikosa kutoa sababu madhubuti kuhusiana na mwelekeo huo. Hata hivyo katika siku yake ya kwanza kuendesha kesi hii, jaji Wakiaga ametimua kivumbi kwa vyombo yvya habari humu nchini akionya wanahabari wanaokikuka kanuni za kuripoti habari za kortini.

.
RELATED VIDEOS