17th October, 2018
Mswada wa kubadilisha siku ya uchaguzi kutoka mwezi Agosti hadi Jumatatu ya wiki ya tatu ya mwezi Disemba umefeli bungeni. Bunge la kitaifa lilikosa idadi hitajika ya wabunge 233 au zaidi kuwepo bungeni ili kupiga kura ya kuunga au kupinga pendekezo hilo.