×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi wananafanya uchunguzi kuhusu mauaji ya mke wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya

16th October, 2018

Polisi mjini Eldoret wananafanya  uchunguzi kuhusiana na mauaji ya mke aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kakamega paul yatich ambaye alipatikana akiwa ameuawa katika eneo la kiplombe kaunti ya uasin ngishu .mwili wa loyce yatich ulipatakana ukiwa na majeraha ya kukatwakatwa na polisi wanashuko waliomuua huenda walimbaka. 

.
RELATED VIDEOS