×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Machifu wa Kenya watapewa mafunzo wa Kijeshi

16th October, 2018

Waziri wa usalama wa ndani fred matiangi ametangaza kuwa machifu sasa watapewa mafunzo ya kijeshi ili kusaidia katika harakati za kudumisha usalama na kukabiliana na kero la ugaidi. Waziri matiangi alikuwa akizungumza katika  mjini nyeri  baada ya kufungua rasmi  warsha ya siku tatu ya kuwapa mafunzo maafisa wa utawala. Mwanahabari wetu ibrahim karanja ana maelezo zaidi.

.
RELATED VIDEOS