×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watoto wawili mapacha wamefariki baada ya nyumba yao kuteketezwa na moto

15th October, 2018

Watoto wawili mapacha wenye umri wa miaka minne wamefariki baada ya nyumba yao kuteketezwa na moto. Wawili hao walikuwa wameachwa na wazazi wao wakiwa peke yao nyumbani wakati mkasa huo ulipotokea. Naibu OCPD wa Nyeri Bernard Amugune alithibitisha kisa hicho na kusema kuwa polisi na idara husika wanafanya uchunguzi kubaini chanzo cha moto huo. Aliwaomba wazazi kuwa waangalifu kila wanapotoka nyumbani na kuacha watoto.

.
RELATED VIDEOS