×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafula Chebukati ametoa changamoto kwa EACC kuwatia mbaroni washukiwa wa usisadi

15th October, 2018

Mwenyekiti wa Tume huru ya uchagzui na mipaka nchini IEBC Wafula Chebukati ametoa changamoto kwa tume ya kupambana na ufisadi EACC kuwatia mbaroni  wahusika katika sakata ya ufujaji wa pesa za tume hiyo wakati wa uchaguzi mkuu ulipita. Chebukati ambaye alikuwa akizungumza kwenye uzinduzi wa zoezi la kuwasajili  wapiga kura wapya katika kaunti ya makueni amesema hatua yake kumtimua afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo ezra chiloba   imetokana na ukaguzi uliobaini kuwa pesa zilivujwa katika uchaguzi. 

.
RELATED VIDEOS