14th October, 2018
Katika makala ya mwanamke ngangari siku ya leo tunamuangazia mama mercy kahaso mwandeje ambaye licha kuwa mlemavu ndiye mwalimu mkuu wa shule ya watoto walemavu ya portreizt katika kaunti ya mombasa. Mmewe akiwa diwani katika kaunti ya kilifi ni familia ambayo imeridhia changamoto zake za ulemavu kama vile