×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Naibu Rais Ruto atoa hakikisho kwa wakulima wa NCPB

14th October, 2018

Naibu wa rais William Ruto amesema kwamba wakulima kutoka kote nchini watalipwa pesa zao za mahindi kwa kipindi cha mwezi mmoja waliyoyauza kwa bodi ya nafaka na mazao ya NCPB mwaka jana. Halikadhalika viongozi waliohudhuria ibada mapema leo, semi zao zilitawaliwa na kura ya maamuzi kuhusu katiba.

 

.
RELATED VIDEOS