×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Muuguzi ashambuliwa katika hospitali ya Kenyatta | Leo Wikendi

13th October, 2018

Muuguuzi mmoja wa kike anapigania maisha yake katika wadi ya wagonjwa mahututi baada ya kushambuliwa na mama anayedaiwa kughadhabishwa na taarifa za kufariki kwa mwanaye wa kiume mapema leo katika hospitali ya kitaifa ya kenyatta. Mama aliyetekeleza shambulizi hilo na anayedaiwa kuandamana na jamaa wengine watano hata hivyo ametiwa mbaroni huku  shirikisho la wauguzi likitishia kuondoa huduma zao iwapo haki haitapatikana kwa mwenzao.

.
RELATED VIDEOS