11th October, 2018
Je maandalizi ya sherehe za Moi Dei yalikuwa vipi nyakati zake rais mstaafu Daniel Moi,mwanahabari Francis Mtalaki alipata fursa ya kufanya mahojiano naye mkuu wa itifaki nyakati zake Moi kwa muda wa miaka 23 aliyofanya kazi na mzee Moi katika ikulu na sasa anatueleza jinsi ilivyokuwa pamoja na sera zake mzee Moi.