.
11th October, 2018
Familia mbali mbali katika eneo la Magharibi zinaendelea kuomboleza vifo vya wapendwa wao vilivyosababishwa na ajali ya Fort Tennan huko Kericho jana. Mojawapo ya familia hizo imepoteza wapendwa wao watano kwa mpigo walipokuwa wanasafiri kuhudhuria mazishi ya jamaa wao.