Zilizopendwa: Kumbukumbu ya maziwa ya Nyayo

KTN News Oct 10,2018


View More on KTN Leo

Kwenye makala maalum ya zilizopendwa leo tunawapa kumbukumbu ya maziwa ya Nyayo, yaliokua yakipeanwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi enzi za utawala wa mzee Moi.