Watu 56 wameaga dunia baada ya ajali ya barabarani kutokea katika eneo la Tunnel

KTN News Oct 10,2018


View More on KTN Leo

Watu hamsini na sita wameaga dunia kufikia jioni hii baada ya ajali ya barabarani kutokea katika eneo la Tunnel barabara ya Londiani kuelekea Muhoroni. Kwa mujibu wa mkuu wa polisi wa kaunti ya Kericho James Mugera, ajali hiyo ilitokea alfajiri baada ya basi la home boyz kubingirika mara kadhaa.