×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia kutoka Kisauni inalilia haki baada ya mmoja wao kupatikana amekufa mikononi mwa askari

9th October, 2018

Familia moja kutoka kiembeni eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa inalilia haki baada ya mmoja wao kupatikana amekufa mikononi mwa askari mnamo tarehe kumi na nane mwezi jana katika kituo cha polisi cha Changamwe. Upande polisi unadai kuwa mwendazake alizirai na kufa kutokana na pombe haramu aliokuwa amebugia. 

.
RELATED VIDEOS