Naibu jaji mkuu Phelomena Mwilu atajua iwapo kesi dhidi yake inayohusu ufisadi itasikizwa
9th October, 2018
Naibu jaji mkuu Phelomena Mwilu atajua iwapo kesi dhidi yake inayohusu ufisadi wa shilingi milioni kumi na mbili itasikizwa tarehe 17 mwezi huu na kundi la majaji watatu wa mahakama ya kupambana na ufisadi au la.